Yanga inaendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na michezo inayofuata, ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal
Wananchi wamepania kwelikweli kupata matokeo katika michezo yote miwili



ADVERTISE HERE