Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ametajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwezi Septemba 2022
Kura zinapigwa kupitia mtandao wa Foot-Africa Mayele akiongoza kwa kura asilimia 31
Anachuana na Seko Fofana wa Ivory Coast anayecheza klabu ya RC Lens, Boulaye Dia (Senegal) wa Salernitana, Dango Ouattara (Burkina Faso) na Karl Toko - Ekambi (Cameroon) anacheza Olympic Marseille
Unaweza kumpigia kura katika mtandao huo

ADVERTISE HERE