Moloko, Bigirimana kuikosa Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2022
Moloko, Bigirimana kuikosa Ruvu Shooting

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema kikosi kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumatatu

Kaze amebainisha kuwa katika mchezo huo Yanga itawakosa baadhi ya wachezaji ambao ni majeruhi au sababu nyingine

Jesus Moloko, Chrispine Ngushi, Gael Bigirimana ni majeruhi, Khalid Aucho amefanya mazoezi kwa siku chache wakati Yacouba Songne anasubiri kuorodheshwa kikosini mwezi Disemba huku Bernard Morrison akitumikia adhabu ya kukosa mechi tatu

Kaze amethibitisha kuwa winga Tuisila Kisinda yuko tayari kwa mchezo huo akiwa amefanya mazoezi na wenzake pia akishiriki kwenye michezo ya kirafiki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
48m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’