Wapinzani wa Yanga ligi ya mabingwa Al Hilal wako DR Congo ambako wameweka kambi ya siku chache kabla ya kuja Tanzania kuwakabili Wananchi kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza, ligi ya mabingwa barani Afrika raundi ya kwanza
Leo walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya TP Mazembe na kuchezea kichapo cha mabao 3-1
Bila shaka benchi la ufundi chini kocha Nasreddine Nabi walipata nafasi ya kuushuhudia mchezo huo, ili kuhakikisha Yanga inatumia vyema madhaifu yao kupata ushindi Oktoba 08
Hakuna shaka Oktoba 08 Yanga itawapa kipigo wanachostahili pale uwanja wa Benjamin Mkapa


ADVERTISE HERE