Majira ya saa 12:15 Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Wananchi watashuka katika mchezo huo wakiwa na mshambuliaji wao kinara, Fiston Mayele
Ruvu Shooting ni miongoni mwa timu chache ambazo Mayele bado anazidai mabao
Msimu uliopita Mayele hakufunga bao katika michezo yote miwili dhidi ya Ruvu Shooting katika ligi kuu ya NBC
Akiwa katika kiwango bora sana cha kupachika mabao, Mayele atawaongoza Wananchi katika mchezo huo

ADVERTISE HERE