Rais wa Yanga Injinia Hersi Said jana alimpokea kiongozi wa Al Hilal Hassan Mohamed na baadae kumkaribisha uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting
Al Hilal wako DR Congo wakitarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku mbili kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi, Oktoba 08
Yanga imewekeza zaidi ndani ya uwanja, hakuna 'makando-kando' ya nje ya uwanja kama wafanyavyo wale ndugu zetu....!
Al Hilal watapata mapokezi mazuri tu nje ya uwanja lakini hawataamini kitakachowakuta Jumamosi pale uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE