Tiketi zinatolewa bure Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Oct 2022
Tiketi zinatolewa bure Jangwani

Habari njema kwa mashabiki wa Yanga kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Jumamosi, Oktoba 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Uongozi wa Yanga umeandaa utaratibu wa kuwapatia mashabiki tiketi bure za kushuhudia mchezo huo

Fika Makao Makuu ya klabu ya Yanga yaliyopo Jangwani jijini Dar es salaam, jisajili kuwa shabiki au Mwanachama, pata kadi yako hapohapo pamoja na tiketi ya Mzunguuko bure

Viongozi wa Yanga pamoja na maafisa wa Kilnet.Afrika watakuwepo Jangwani kuwahudumia Wananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’