Hatupaswi kukata tamaa - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2022
Hatupaswi kukata tamaa - Kamwe

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema ni sahihi kwa Wanayanga kutofurahishwa na matokeo ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal lakini hawapaswi kukata tamaa

Kamwe amesema Yanga haikupoteza mchezo, benchi la ufundi linafanyia kazi mapungufu yaliojitokeza katika mchezo huo ili kufanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano ambao utapigwa wiki ijayo nchini Sudan

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’