Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo ameshiriki hafla ya kuipongeza timu ya Taifa ya Tanzania (Walemavu) Tembo Warriors waliotoka kushiriki Kombe la Dunia nchini Uturuki.
Tembo Warriors waliweka rekodi ya kushirikia mashindano hayo kwa mara ya kwanza na kufanikiwa kutinga robo fainali
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said amewapongeza mashujaa hao waliopeperusha vyema bendera ya Tanzania
Hafla hiyo iliandaliwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo pia ilihudhuriwa na Waziri Mohammed Mchengerwa



ADVERTISE HERE