Wachezaji wakajitoe mhanga Sudan - Nadir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2022
Wachezaji wakajitoe mhanga Sudan - Nadir

Nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' amewataka wachezaji wa timu hiyo kujitoa mhanga huko Sudan kuhakikisha wanapata matokeo ambayo yatawapeleka hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Nadir amewahi kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga ambacho kiliitikisa Al Ahly msimu wa 2014/15  wakipoteza kwa mikwaju ya penati kule Misri baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1

Yanga ilishinda bapo 1-0 uwanja wa Benjamin Mkapa na kupoteza bao 1-0 nchini Misri na hivyo mshindi kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati Al Ahly wakiibuka washindi

Nadir amesema wachezaji wa Yanga wanapaswa kujiamini, kuweka dhamira ya kuamini hakuna kinachoshindikana kuwania ushindi ndani ya dakika 90 ili mradi kila timu inaingiza wachezaji 11.

"Morali na hamasa ambayo ilikuwepo kwa mashabiki, makocha, viongozi na wachezaji ya kupata ushindi mechi iliyochezwa kwa Mkapa ndiyo hiyo hiyo iendelee kwenye mchezo wa marudiano"

"Kila timu itaingiza wachezaji 11 uwanjani, hilo likamfanye kila mchezaji kusimamia majukumu yake na kuibeba timu," alisema Nadir anayeshikilia rekodi ya kuitumikia Yanga kwa muda mrefu zaidi (miaka 12)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’