Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya mwisho uwanja wa Al Hilal kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya wenyeji wao Al Hilal
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja huo kuanzia saa tatu usiku
Yanga imepania kushinda mchezo huo ili kutinga hatua ya makundi






ADVERTISE HERE