Tumepokea kwa masikitiko taarifa ya Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kufiwa na mtoto wake wakati yuko njiani na kikosi cha Yanga kuelekea Sudan
Pamoja na kukumbwa na msiba huo, Kamwe alikuwa jasiri na kuhimili majukumu yake akiwa katikati ya msiba huo mkubwa
Tunampa pole kwa msiba huu, Mwenye ez Mungu ampe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE