Mayele na rekodi ya aina yake kwenye dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2022
Mayele na rekodi ya aina yake kwenye dabi

Katika vikosi vya sasa vya Yanga na Simba, Fiston Mayele ndiye kinara wa kutupia kwenye mechi za dabi akiwa amefunga mabao matatu katika michezo mitano aliyocheza dhidi ya Simba

Katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa kabla ya kuanza msimu huu, Mayele alikaribia kuifikia rekodi Mzee Abdallah Kibaden ambaye ndiye mchezaji aliyewahi kufunga hat-trik katika mechi za dabi

Mayele alifunga mabao yote mawili katika ushindi wa 2-1 ambao Yanga waliupata dhidi ya Simba na kutetea Ngao kwa msimu wa pili mfululizo

Jumapili ijayo Oktoba 23 Mayele atakiongoza kikosi cha Yanga katika mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Simba msimu huu

Mcongomani huyo amekuwa na mwanzo mzuri wa msimu akipachika mabao 12 katika mechi 10

Mabao mawili ngao ya jamii, mabao matatu kwenye ligi kuu na mabao saba kwenye ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’