Bodi ya Ligi Kuu imetangaza waamuzi wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili, Oktoba 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mwamuzi wa kati ni Ramadhani Kayoko kutoka jijini Dar es salaam ambaye atasaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja Mohammed Mkono kutoka Tanga na mwamuzi msaidizi namba mbili Janeth Balama kutoka Iringa

ADVERTISE HERE