Ikiwa sehemu ya utaratibu wake, leo klabu ya Yanga ilitembelea kituo cha watoto yatima Upendo Center kilichopo Buguruni jijini Dar es salaam na kutoa misaada mbalimbali
Yanga imekuwa na utaratibu wa kurudisha kwenye Jamii ili kuwapa faraja wale wenye mahitaji maalum



ADVERTISE HERE