Ni muda tu, Kisinda atawafunga midomo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2022
Ni muda tu, Kisinda atawafunga midomo

Yawezekana asiwe katika kiwango ambacho wengi wamezoea kumuona lakini hiyo ni kawaida na humtokea mchezaji yeyote

Hapa tunamzungumzia winga Tuisila Kisinda ambaye wengi wanamkosoa baada ya kutokuwa kwenye ubora katika mchezo dhidi ya Simba

Wakati Clatous Chama ameondoka Berkane na kurudi Simba katika dirisha dogo msimu uliopita, kilichomtokea ndicho kinachomtokea Kisinda sasa

Kisinda hakuwa na muda wa kufanya pre-season na timu ya RS Berkane na hiyo ilikuwa moja ya sababu iliyomfanya aondoke Berkane

Awali timu hiyo ilitaka kumtoa kwa mkopo lakini mwenyewe akashinikiza auzwe na Yanga ikafanikiwa kumnasa katika siku ya mwisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa

Mara kadhaa kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alibainisha kuwa Kisinda hakuwa na utimamu wa asilimia 100 kulinganisha na wenzake kikosini lakini anahitaji nafasi ya kucheza mara kwa mara ili arudi katika 'form' yake

Wale wanamkosoa sasa wawe na akiba ya maneno, ubora wa mchezaji hauondoki siku moja

Wazungu wanasema 'form is temporary class is permanent'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’