Kesho Jumatano, Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikaribisha KMC katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE