Winga wa Yanga Bernard Morrison amewapiga 'kijembe' wachambuzi walioshikia 'bango' mkwaju wa penati wa Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold uliopigwa jana Jumamosi katika uwanja wa CCM Kirumba
Morrison alifunga mkwaju huo wa penati ambao uliihakikishia Yanga kundoka na ushindi wa bao 1-0
Kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Morrison amesema amefanya majadiliano ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said na wamekubaliana matokeo ya mchezo dhidi ya Geita Gold ni 0-0
ADVERTISE HERE