Yanga inaendelea na utaratibu wa kugawa tiketi kwa Wananchi ambao wanapata chanjo ya Uviko-19 zoezi hilo likifanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga na katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam
Hii ni fursa adimu kujipatia tiketi bure na kuwa sehemu ya mashuhuda katika mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain siku ya Jumatano
Wanasema ujanja ni kuchanja, twende uwanjani tukashangilie 'boli' huku tukiwa na uhakika wa afya zetu




ADVERTISE HERE