Ukiwasikiliza wachambuzi hasa baada ya Yanga kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Club Africain unaweza kudhani Yanga ni timu dhaifu sana
Lakini ukweli ambao hawausemi ni kuwa kwa sasa Yanga ndio timu bora kuliko timu yoyote hapa Tanzania kwa mujibu wa takwimu
Wananchi wanaongoza ligi na wamecheza mechi 45 mfululizo pasipo kupoteza
Tunawakumbusha tu, ukubwa wa timu unapimwa kwa idadi ya makombe ambayo imeshinda na sio vinginevyo
Yanga ina takwimu za timu zinazoshinda mataji

ADVERTISE HERE