Msafara wa kikosi cha Yanga uliwasili Dubai usiku wa jana na leo Jumamosi wameondoka kuelekea nchini Tunisia
Yanga itarajiwa kuwasili Tunisia mchana wa leo na moja kwa moja wataelekea katika Mji wa Sousse ambako wataweka kambi ya siku mbili kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain





ADVERTISE HERE