Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya pili ya maandalizi kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain
Yanga imeweka kambi katika mji wa Sousse kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa Jumatano, Novemba 09








ADVERTISE HERE