Azam Media wamethibitisha kuwa watarusha mbashara mchezo wa mkondo wa pili kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Club Africain dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumatano huko Tunisia
Mchezo huo utaruka mbashara kuanzia saa mbili usiku. Yanga inahitaji kushinda au kupata sare ya mabao ili kusonga mbele hatua ya makundi

ADVERTISE HERE