Wananchi wako tayari kwa shoo ya kibabe Tunisia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2022
Wananchi wako tayari kwa shoo ya kibabe Tunisia

Jioni ya leo majira ya saa 12 Yanga itafanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa mkondo wa pili kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ambao utapigwa katika uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic

Yanga imetumia siku tatu kujiandaa na mchezo huo ndani ya Tunisia lengo likiwa kushinda mchezo huo baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Vijana wa kocha Nasreddine Nabi wako tayari kuipambania Yanga huko ugenini na wameapa kupambana kwa jasho na damu ili kupata matokeo mazuri

Kwa Wananchi tulioko Tanzania hatuna budi kuwaombea wapambanaji wetu ili waweze kupata matokeo mazuri siku ya kesho

Nia wanayo, sababu wanayo na hata uwezo wa kumtandika Club Africain katika uwanja wake wa nyumbani wanao pia

HAKUNA LISILOWEZEKANA KWENYE MPIRA WA MIGUU

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’