Tuko tayari kuwakabili Club Africain - Mtine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2022
Tuko tayari kuwakabili Club Africain - Mtine

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine amesema wamekuwa na maandalizi mazuri nchini Tunisia kuelekea mchezo wa mkondo wa pili kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic

Mtine amesema wamekuwa na utulivu katika maandalizi yao, benchi la ufundi na wachezaji wamepata muda mzuri wa kufanya maandalizi ya mchezo huo na sasa wako tayari

"Tuko vizuri, tumewasili hapa Tunis jana, tunajiandaa na mazoezi ya mwisho saa 12 jioni katika uwanja ambao tutacheza hapo kesho. Tunajiamini, wachezaji wanajiamini, morali yao iko juu na tuna matumaini ya kupata matokeo mazuri hapo kesho"

"Tumepata hamasa kutoka kwa Waziri Mkuu wa Tanzania (Mh Kassim Majaliwa) na pia ubalozi wa Tanzania hapa Tunisia, kila kitu kiko vizuri kuelekea mchezo husika," alisema Mtine

Awali kulikuwa na taarifa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi aliomba mshambuliaji kinda Clement Mziza aongezwe katika kikosi chake, Mtine amesema kuwa Yanga imesafiri na wachezaji wenye uzoefu ambao wako tayari kuipambania timu siku ya kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’