Afisa Habari wa zamani wa klabu ya Yanga Hassan Bumbuli amesema wachezaji wanapaswa kupambana ili kupata matokeo mazuri kwenye mchezo dhidi ya Club Africain na kutinga hatua ya makundi
Bumbuli amesema wachezaji wa Yanga wanao uwezo wa kusonga mbele siku ya leo lakini muhimu wanapaswa kuhakikisha wanafunga bao au mabao
ADVERTISE HERE