Ndio sisi ndio Wananchiiiiiiii, Club Africain wamekufa katika uwanja wao wa nyumbani kwa bao la Stephane Aziz Ki
Hakuna maneno mengi, Yanga leo imedhihirisha ukubwa wake na imewafunga midomo wale woote wakosoaji
Wale wachambuzi wa michongo wataweka wapi sura zao?????
Hongera wachezaji, hongera benchi la ufundi, hongera viongozi wa Yanga, mmewaheshimisha Wananchiiii..
ADVERTISE HERE