Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Mama Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club African
Rais Samia ameitakia kila la kheri Yanga katika hatua inayofuata katika michuano hiyo
Kongole @YangaSC1935 kwa ushindi na kufanikiwa kusonga mbele katika michuano ya soka la wanaume kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, msimu wa 2022/2023. Nawatakia kila la kheri katika hatua inayofuata. pic.twitter.com/pHO2gxiGMH
β Samia Suluhu (@SuluhuSamia) November 10, 2022
ADVERTISE HERE