Heshima kwa 'unbeaten' inaendelea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Nov 2022
Heshima kwa 'unbeaten' inaendelea

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga watakuwa uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Kagera Sugar

Wananchi watakuwa wakisaka rekodi ya kucheza mechi ya 46 pasipo kupoteza sasa wakiwa na mechi 45

Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amesema katika dakika ya 45 mashabiki watasimama uwanja mzima kuwapigia makofi wachezaji na benchi la ufundi kwa kucheza mechi 45 pasipo kupoteza kwenye ligi

Kamwe amesema zoezi hilo litafanyika baada ya mwamuzi wa akiba kusimama kuonyesha muda wa nyongeza kuelekea mapumziko

Yanga imekuja na utaratibu huo wa kutambua kazi nzuri iliyofanywa na wachezaji pamoja na benchi la ufundi kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’