Kesho Alhamisi, Novemba 17 Yanga itakuwa mwenyeji wa Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 1 usiku
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Tiketi tayari zinapatikana;

ADVERTISE HERE