Klabu ya Yanga imetangaza uteuzi wa Kocha Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya miaka (17-20) na timu ya Wanawake, Yanga Princess
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa Kaze pia ataendelea na majukumu yake ya Kocha Msadizi wa timu ya wakubwa
Kaze amechukua nafasi ya Mwinyi Zahera ambaye mkataba wake ulimalizika mwezi Septemba 2022

ADVERTISE HERE