Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kulia wa Yanga Djuma Shaban 'Soldier ya Bemba'
Wananchi wanajivunia Djuma kwani umahiri na uzoefu wake umekuwa mchango mkubwa katika kikosi cha Yanga
Msimu uliopita alikuwa mmoja wa wachezaji wandamizi waliohakikisha Yanga inashinda mataji yote ya ndani
Changamoto ya majeraha imekuwa ikimsumbua mara kwa mara msimu huu lakini anapokuwa fiti, hakuna anausogelea ubora wake katika walinzi wa pambeni
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY SOLDIER YA BEMBA....!
ADVERTISE HERE