Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amesema leo tukio la Wananchi kusimama kutoa heshima kwa kikosi chao na benchi la ufundi baada ya kucheza mfululizo pasipo kupoteza mchezo, litafanyika dakika ya 46
Yanga imecheza mechi 46 pasipo kupoteza, leo wanatafuta mechi ya 47
Tukio litafanyika dakika moja baada ya mwamuzi wa akiba kuonyesha muda wa nyongeza kukamilisha kipindi cha kwanza
ADVERTISE HERE