Mshery yuko tayari kuwakabili Singida Big Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2022
Mshery yuko tayari kuwakabili Singida Big Stars

Mlinda lango Aboutwalib Mshery leo atakuwa langoni wakati Yanga itakapoikabili Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa saa 1 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Djigui Diarra 'Mdaka Mishale' ameruhusiwa kwenda kutimiza majukumu ya timu yake ya Taifa ya Mali

Utakuwa mchezo wa tatu Mshery anakaa langoni akiwa bado hajaruhusu bao kutikisa nyavu zake katika mechi mbili alizodaka

Baada ya kukabiliwa na changamoto katika eneo la walinda lango kwenye misimu ya nyuma, Yanga imepata tiba katika eneo hilo kwani anapoanza Diarra au Mshery hakuna Mwananchi anakuwa na mashaka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’