Sita kuikosa Dodoma Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2022
Sita kuikosa Dodoma Jiji

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea mkoani Singida kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa Jumanne, Novemba 22 katika uwanja wa Liti

Wachezaji sita wanatarajiwa kuukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali

Taarifa ya Yanga imebainisha kuwa Yannick Bangala atakosekana kwa kuwa ana kadi tatu za njano

Mshambuliaji Heritier Makambo bado hajapona majeraha ya kidole wakati Bernard Morrison na Farid Mussa hawakujumishwa kikosini wakikabiliwa na matatizo ya kifamilia

Stephane Aziz Ki anakosekana katika mchezo wa tatu akimalizia adhabu wakati Djigui Diarra alisafiri Mali kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa

Orodha ya wachezaji waliosafiri

Aboutwalib Mshery, Erick Johora, Shomari Kibwana, Djuma Shabani, David Bryson, Joyce Lomalisa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Bacca

Wengine ni Khalid Aucho, Gael Bigirimana, Zawadi Mauya, Salum Abubakar, Feisal Salim na Dennis Nkane

Pia wamo Jesus Moloko, Dickson Ambundo, Clement Mzize, Fiston Mayele na Tuisila Kisinda.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’