Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne, Novemba 22 katika uwanja wa Liti mkoani Singida
Yanga imefanya mazoezi ya mwisho leo katika uwanja huo




ADVERTISE HERE