Ni alama nyingine tatu kwa Yanga ambazo zinawarudisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC
Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji unaifanya Yanga iendelee rekodi yake ya 'unbeaten' sasa wakifikisha mechi 48
Pengine Fiston Mayele angeondoka na mpira leo katika mchezo wa pili mfululizo kama asingepoteza moja ya nafasi adimu katika kipindi cha pili
Ni Mayele aliyefunga mabao yote ya Yanga kwenye dakika ya 42 na 67 akitumia vyema pasi kutoka kwa Tuisila Kisinda na Denis Nkane
Mayele sasa anaongoza mbio za ufungaji bora akifikisha mabao nane
Alama 29 pale kileleni, Wananchi wanasema baridi ni kali sana...!





ADVERTISE HERE