Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Singida ambako walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji
Yanga imerejea kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 26






ADVERTISE HERE