Droo Shirikisho, Ligi ya mabingwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2022
Droo Shirikisho, Ligi ya mabingwa leo

Droo ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika itafanyika leo Jumatatu, Disemba 12 huko Cairo, Misri

Droo ya kombe la Shirikisho itafanyika kuanzia saa nane mchana na kufuatiwa na droo ya ligi ya mabingwa saa tisa

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andrea Mtine anatarajiwa kuhudhuria droo hiyo itakayofanyika jijini Cairo

Tujikumbushe timu zilizofuzu makundi kombe la Shirikisho;

ASKO de Kara (Togo), DC Motema Pembe (DR Congo), Pyramids FC (Egypt), Rivers United (Nigeria), Al Akhdar SC (Libya), Diables Noirs (Congo), TP Mazembe (DR Congo), ASFAR Club (Morocco), FC Saint Éloi Lupopo (DR Congo), US Monastir (Tunisia), AS Real Bamako (Mali), Future FC (Egypt), USM Alger (Algeria), Asec Mimosas (Côte d'Ivoire), Marumo Gallants (South Africa), Young Africans (Tanzania).

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
13h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
18h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’