Mahadhi hatihati kuivaa St Louis

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2018
Mahadhi hatihati kuivaa St Louis
Winga Juma Mahadhi huenda akaukosa mchezo wa leo dhidi ya St Louis baada ya kukumbwa na homa kali.

Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amethibitisha juu ya kuugua kwa Mahadhi ambaye alifanya mazoezi na kikosi cha Yanga jana jioni.

"Tunamshukuru Mungu tuko salama, ila Juma Mahadhi ameamka na homa,baada ya mazoezi ya jana amepata homa.

"Tunasubiri muda ufike tu tucheze kama itakuwa ameshakuwa vizuri mwalimu na benchi la ufundi watajua namna ya kumtumia,lakini hadi sasa bado ana homa," Saleh ameiambia eFM.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’