Mabao matano, asisti mbili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Dec 2022
Mabao matano, asisti mbili

Bao alilofunga Feisal Salum leo katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ni la tano msimu huu

Feisal amehusika katika mabao saba yaliyofungwa na Yanga pia akitoa assist 2

Nafikiri wale wanaomshindanisha na yule wa kule wanapaswa kumpa Feisal heshima yake

Feisal ni mchezaji aliyekamilika, anaweza kutumika katika eneo lolote la kiungo na ushambuliaji

Feisal anafunga mabao muhimu sana na kuisaidia Yanga kupata matokeo mazuri pale mambo yanapoonekana ni magumu

Wazungu wanasema Feisal ni 'full package', apewe heshima yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
49m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’