Puuzeni habari za uongo - Aucho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2022
Puuzeni habari za uongo - Aucho

Kiungo wa Yanga Khalid Aucho amekanusha habari iliyoandikwa na gazeti moja la kila siku lililodai kuwa dokta huyo wa soka amegoma kuongeza mkataba na ataondoka mwishoni mwa msimu

Aucho amesema wanaoandika uongo huo wanataka 'comments' na 'likes' huko mitandaoni hivyo zipuuzwe

"Wananchi wenzangu msisumbuliwe na habari za uongo, kuna watu wanapenda 'comments' na 'likes' focus yetu iwe kwenye mchezo unaofuata siku ya Jumatano, tukutane huko," aliandika Aucho kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Aucho bado ana mkataba wa zaidi ya miezi sita na Yanga mkataba wake utamalizika mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’