Yanga Princess leo wanaanza kampeni ya kuusaka ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' kwa kuikabili Fountain Gate Princess katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru
Baada ya maandalizi kabambe, hii ni nafasi kwa Yanga Princess kuwahakikishia Wananchi kuwa msimu huu wanautaka ubingwa
Jana watani zao Simba Queens waliangukia pua kwa kuchapwa mabao 2-1 na JKT Queens katika mchezo ambao wao walikuwa nyumbani
Ushindi kwa Yanga Princess leo utakuwa alama tatu muhimu sana. Mchezo utapigwa saa 10 alasiri
ADVERTISE HERE