Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said akiambatana na Mfadhili/Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohammed (GSM) wako Qatar kushuhudia michuano ya kombe la Dunia
Akiwa Qatar, Hersi ameiwakilisha vyema Yanga, akipata fursa ya kuonana na nyota maarufu waliowahi kutamba katika soka Duniani




ADVERTISE HERE