Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Jumamosi Disemba 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi leo aliwapeleka vijana wake Gym kuweka miili sawa tayari kuwakabili maafande wa Polisi Tanzania ambao sasa wananolewa na Kocha Mwinyi Zahera







ADVERTISE HERE