Dirisha dogo la usajili limewadia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2022
Dirisha dogo la usajili limewadia

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa usiku wa kuamkia Ijumaa, Disemba 16 2022 kwa timu za Ligi Kuu, Championship, daraja la kwanza na ligi ya Wanawake

Dirisha hilo litafungwa Januari 15 2023 ambapo klabu zitatakiwa kufanya usajili pamoja na kukamilisha uhamisho wa kimataifa ndani ya muda

Ni nafasi Yanga kufanya maboresho muhimu ili kuhakikisha wanatimiza malengo yao ya kutetea mataji yote waliyotwaa msimu uliopita

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewahakikishia Wananchi kuwa watatekeleza mapendekezo yaliyotolewa na benchi la ufundi kwa kukiongezea nguvu kikosi kwenye dirisha hili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’