Huku Mayele, kule Yacouba.. kazi ipo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2022
Huku Mayele, kule Yacouba.. kazi ipo

Taarifa njema kwa Wananchi ni kurejea kikosini kwa mshambuliaji Yacouba Songne ambaye amekuwa nje kwa takribani miezi 12 akiwa majeruhi

Yacouba hakujumuishwa kwenye kikosi cha Yanga katika dirisha la usajili lililopita lakini alifanya mazoezi ya timu ili kuhakikisha anarejea katika ubora wake baada ya kufanyiwa operesheni kubwa ya goti

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amemuhitaji Yacouba kwenye kikosi chake hivyo pasipo na shaka Wananchi watamshuhudia rasmi akiitumikia Yanga kwa mara nyingine

Bado uongozi wa Yanga haujaweka wazi Yacouba anachukua nafasi ya nani, lakini jambo la uhakika ni kuwa Mburkinabe huyo anachukua nafasi ya nyota mmoja wa kigeni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’