Kituo kinachofuata ni Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2022
Kituo kinachofuata ni Coastal Union

Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania hapo jana, Wananchi watakuwa na siku mbili za mapumziko kabla ya kurudi tena uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo mwingine wa ligi kuu

Ni siku ya Jumanne, Disemba 20 Yanga itakuwa mwenyeji wa Coastal Union katika mtanange mwingine ambao alama tatu kwa Yanga zitaendelea kuwasogeza Wananchi hatua moja kuelekea ubingwa wa 29

Disemba 25 siku ya xMas itakuwa siku ya kukata mzizi wa fitina kwani Yanga watachuana na Azam Fc katika mchezo mwingine muhimu

Yanga inaongoza ligi ikiwa na alama 41 baada kucheza mechi 16 ikifuatiwa na Azam Fc inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 36 baada ya kucheza mechi 16

Simba inashika nafasi ya tatu ikiwa na alama 34 baada ya kucheza mechi 15, leo wakitarajiwa kucheza na Geita Gold jijini Mwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’