Tuko vizuri kuikabili Coastal Union - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2022
Tuko vizuri kuikabili Coastal Union - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema kikosi kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo huo, Kaze amesema mara nyingi Coastal Union ni timu inayowapa changamoto kila wanapokutana nayo. Lakini anaamini Yanga iko kwenye wakati mzuri zaidi kuwakabili wagosi hao wa kaya 

"Tuna deni na mashabiki wetu kwenye mbio za ubingwa, naamini tuko vizuri kuwakabili Coastal Union, timu ambayo inatupa ushindani mkubwa kila tunapokutana," alisema Kaze

Kaze amesema pamoja na Coastal Union kutokuwa na matokeo mazuri katika msimu huu, timu hiyo ina wachezaji wengi wenye vipaji, hawapaswi kuwadharau

Akizungumzia utayari wa kikosi, Kaze amesema ukiondoa mlinda lango Aboutwalib Mshery ambaye ni majeruhi, wina Tuisila Kisinda alipata changamoto katika mchezo uliopita dhidi ya Polisi Tanzania na baada ya mazoezi ya mwisho leo, watafanya tathmini kuona kama ataweza kutumika hapo kesho 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’