FT : Yanga 3-0 Coastal Union, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2022
FT : Yanga 3-0 Coastal Union, NBC PL

Fiston Mayele ameendeleza ufalme wake wa kuzifumania nyavu kwenye ligi kuu ya NBC leo akifunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-0 ambao Yanga wameupata dhidi ya Costal Union

Krosi murua ya Joyce Lomalisa na pasi mpenyezo kutoka kwa Stephane Aziz Ki zilipelekea Mayele kufunga mabao hayo sasa akifikisha mabao 13

Msimu uliopita alifunga mabao 16 lakini leo ukiwa mchezo wa 17, Mayele tayari ana mabao 13. Ni wazi atavunja rekodi yake ya mabao ya msimu uliopita

Bao la tatu katika mchezo huo ambao Yanga ilitawala kwa muda mwingi lilifungwa na Feisal Salum akimalizia pasi ya Aziz Ki. Feisal amefikisha mabao sita msimu huu

Ni ushindi ambao unazidi kuikita Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 44

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
27m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’